Wasiliana Nasi: info@tagla.go.tz | +255 22 2123705 / +255 22 2123709 / +255 22 223711

KURATIBU MATUKIO

Je, unatukio lolote litakalofanyika Tanzania? Kwa nini wewe usiendelee kushughulikia mambo mengine muhimu na ukatuachia kuratibu tukio hilo? TaGLA wana uzoefu mkubwa wa kuratibu matukio na shughuli mbalimbali za kitaifa na kimataifa. 

Katika huduma ya kuratibu tunafanya yafuatayo;

  • Kusanifu, kuunda, kukuza na kusimamia tukio lenyewe kitaalamu,
  • Tunatafuta eneo la kuendesha shughuli yako,
  • Tunasaidia kuwajua waalikwa na kuandaa mialiko (ya ndani na nje ya nchi),
  • Tunaandaa usafiri, wa kutoka uwanja wa ndege hadi hotelini,
  • Tunasaidia kuandaa huduma za chakula,
  • Matembezi na utalii,
  • Na mambo mengine yanayoweza kuifanya shughuli yako iwe ya kukumbukwa!